EPL: Matokeo ya Mechi Zote za Jana Ukiwemo wa Chelsea vs Leicester haya Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ligi kuu ya Uingereza maarufu kama Barclays Premier League imeendelea tena leo kwa michezo kadhaa kupigwa, huku mchezo wa Chelsea vs Leicester City ukichukua nafasi kubwa kwenye vyombo vya habari.
Mchezo huo uliomalizika hivi punde ulipigwa kwenye dimba la Stamford Bridge na Chelsea wakitoka kifua mbele kwa ushindi wa 2-0.
Diego Costa kwa mara nyingine alifanikiwa kuifungia Chelsea baada ya kufanya hivyo kwenye mechi ya kwanza.
Costa alifunga goli la kwanza dakika chache baada ya kipindi cha pili kuanza, na dakika kadhaa Hazard akawainua tena mashabiki wa Darajani kwa goli safi.
Leicester City watajilaumu wenyewe kwa kushindwa kupata matokeo chanya kutokana na kupoteza nafasi za kufunga mara kwa mara.
Matokeo mengine yapo kama ifuatavyo: Swansea 1-0 Burnley, Southampton 0-0 West Brom, Crystal Palace 1-3 West Ham
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. chelsea ndio mabingwa wa msimu huu.

    ReplyDelete
  2. Kweli kabisa. the blues Ndio bingwa msim huu.

    ReplyDelete
  3. arsenal ndie bingwa..chelsea hamna kitu

    ReplyDelete

Top Post Ad