Baada ya Wema Kuziponda Simu za Tecno na Huawei Sasa Zimekosa Soko Huko Madukani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Yaani jamani sio siri Wema ndio kila kitu kwa wadada walio wengi Dar es salaam baada ya kuziponda simu haina ya TECNO NA huawei WENGI sasa hawazitaki tena.

Nina ndugu yangu mmoja ana duka kariakoo ya simu ameshangazwa na maneno ya wateja hasa akina dada wakisema tupe simu aina yoyote lakini si alizoponda madam akauliza ndo nani mpaka iwe ivi ! maana angekuwa mmoja ungesema ana lake jambo!

Nimeamini ndo mana makampuni makubwa kama Airtel wanamtumia kwa sababu ana kitu cha ziada.

Ndani ya lisaa biashara inadoda ?

WEMA nitakukumbuka DAIMA no one!!! sijui ana kitu gani jamani nyota yake na kali sana!!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. acha uongo kwani wema ndio nani?

    ReplyDelete
  2. wataalamu wanahangaika kutengeneza simu , yeye anaota ndoto tu kwamba mbaya, afikirie kwa kina simu sio usanii.

    ReplyDelete
  3. Tathimi zako mbovu mhariri wewe unafikiri tanzania ni kariakoo tu? Watu kibao wanazichangamkia mikoani

    ReplyDelete
  4. mwenye hicho kiblog elimu ndogo ndio tatizo

    ReplyDelete
  5. Hhah itakuwa hapo juu wote watumiaji wazur Wa techk na huawei maana mlivyopanic

    ReplyDelete
  6. wema ndo kinyago gani? walioludisha hizo simu wote ni wapumbsvu

    ReplyDelete
  7. Adim. umechemka.

    ReplyDelete
  8. HABARI NDO HIYO HATA KWENYE DALADALA WATUMIAJI WA HIZO SIMU WAMEKOSA CONFIDENCE.

    ReplyDelete
  9. juzi dogo nimemuahidi zawadi ya tecno,acha alie na kusem dada watanicheka shuleni!!!!!!!!

    poleeen we watumiaji wa hivyo vimeo.

    ReplyDelete
  10. MTYUUUUUUUUUUUUUUUUUU WEMA

    ReplyDelete
  11. Wapumbavu sana kwani wema atakununuliya iphone 6 kila siku ringiya cha jasho lako siyo cha kuhongwa

    ReplyDelete
  12. negative advertisement,hawawezi kumfungulia kesi?

    ReplyDelete

Top Post Ad