AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Baada ya kutoa documentary ya mgogoro wa ardhi Loliondo ikaleta utata, sasa kutoa ya pili. Na baada ya hapo atakuja na documentary ya kuonyesha jinsi biashara ya madawa inavyofanyika nchini, atakuja na yale majina aliyo nayo rais kikwete. Ameyasema hayo asubuhi alipokuwa katika kipindi cha asubuhi kinachorushwa live Clouds 360 clouds tv. Akiongea kwa jazba amesema haogopi yeyote na amejitoa mhanga.
------------------------
Try to make at least one person happy every day. If you cannot do a kind deed, speak a kind word. If you cannot speak a kind word, think a kind thought. Count up, if you can, the treasure of happiness that you would dispense in a week, in a year, in a lifetime!
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
watakuua ndugu yangu achana nao
ReplyDeleteJAMANI JERRY ACHANA NAO WATAKUUWA KABLA HUJAWATAJA ACHANA NAO PLEASE!!!
ReplyDeleteDamu ya Yesu ikufunike,wenye lengo baya na wewe washindwe
ReplyDeleteHongera jeryy kwa kujitoa mhanga. Lazima apatikane mtu mmoja kama wewe ili ili tatizo liishe
ReplyDeleteTunautambua Sana mchango Wako Jerry katika jamii yetu
ReplyDeleteLakin watu c wazuri watakufanyia mbaya Sana .watakuuwa kweli achana nao
Jerry achana nao hao watakuuwa bure!!!!
ReplyDeleteNAFIKIRI TUNGEMUUNGA MKONO WATANZANIA WOTE KWA KUKUBALI KUFICHUA HAWA WATAFUNA NCHI HII TUNGEKUWA MBALI KWA MAENDELEO TUMECHOKA NA HAWA WATU JAMANI ILA MMH ANGALIA SANA KBLA YA KUWATAJA MAANA NIWATU HATARI HAWA ZAIDI YA MAFIA
ReplyDelete