Mwanamitindo Flaviana Matata Achumbiwa na Mbongo..Asema Haya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Flaviana Matata
Mwanamitindo Mtanzania Flaviana matata ambaye Novemba 2014 alichumbiwa, amesema kuwa hata atakapoolewa, ndoa haitabadilisha au kuathiri chochote katika kazi zake.
“Kila kitu kitaendelea kama kilivyo sasa mpaka pale nitakapoona sasa imetosha nifanye mambo mengine, lakini haitabadilisha chochote, itabadilisha status tu ndo inakuwa mrs flani basi.” Alisema kupitia XXL ya Clouds Fm.

Mwanamitindo huyo wa kimataifa ambaye hufanyia shughuli zake Marekani, hajataka kumuweka wazi mchumba wake lakini amesema ni Mtanzania anayeishi Marekani.

Baada ya kuulizwa kwanini amechagua kuolewa na Mtanzania mwenzake, alijibu hiki:

Utamaduni ni muhimu sana, Kiukweli simzui mtu kuolewa na utamaduni wowote lakini mimi najua nachokihitaji katika maisha yangu, najua hatufanani najua mwingine anataka mzungu mwingine muhindi, lakini mimi cha kwanza kabisa utamaduni ni muhimu sana.”
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hongera sana bibie!!!!

    ReplyDelete
  2. hongeraa mamiii but ndoa sio rahisi kama unavofikili so kunavitu itakubidi ubadilike ukishindwa itakushinda mamiiii. bravooooo to uu

    ReplyDelete
  3. hongeraa mamiii but ndoa sio rahisi kama unavofikili so kunavitu itakubidi ubadilike ukishindwa itakushinda mamiiii. bravooooo to uu

    ReplyDelete

Top Post Ad