Maskini Mtoto wa Whitney Houston Bobbi Kristina Hali Imekuwa Mbaya Madaktari Waomba Kuzima Mashine inayomsaidia Kupumua ili Afe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Marehemu Whitney Houston na Bobbi Kristina 
Udaku Special Blog: Hali ya afya ya aliyekuwa mtoto wa mwanamuziki wa nchini Marekani,marehemu Whitney Houston, Bobbi Kristina imezidi kuwa mbaya kiasi kwamba madaktari wamemuomba baba mtu Bobby Brown awaruhusu .....
wazime mashine inayomsaidia kupumua Bobbi, wamekata tamaa kwamba atapona

Familia imekusanyika Nyumbani wakijiandaa "kumuaga" Bobbi wakati wengine wakiwa kwenye maombi mazito apone.

Kwa Kidhungu:

Bobbi Kristina Brown isn't dead yet, but a new report suggests she's about to be taken off life support.

Whitney Houston's troubled daughter was found unresponsive in a bathtub in her Atlanta-area home on Saturday, nearly three years to the day after the famed singer died of a drug overdose in a similar scene. The 21-year-old reality star's father is New Edition singer Bobby Brown.

A family member tells People that a doctor is saying nothing more can be done. "Everyone is coming to the hospital to say goodbye, " a source told the magazine.

"It's sinking in that this is it," a second family member added. "But we're all still praying that God will intervene and heal her body."


TMZ reports Bobby Brown has been looking distraught as he may be about to lose a daughter while his current wife, Alicia Etheredge, is four months pregnant.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. With God all things are possible

    ReplyDelete
  2. Hali ya afya ya mtoto wa aliyekuwa.........................?AU
    Hali ya afya ya aliyekuwa mtoto wa.........................?
    Somebody help me please,shule yangu ndogo kwa kweli.
    Msaada kwangu wajemeni! seriosly, i need your help.

    ReplyDelete

Top Post Ad