Diamond Platnumz:Usipokuwa na Ufahamu Mkubwa, Leo Unaweza Dhani eti nna Maslahi Binafsi na CCM...ila.....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diamond Ameandika Haya Kwenye Ukurasa Wake wa Instagram:

Usipokuwa na Ufahamu mkubwa, leo unaweza dhani eti nna Maslahi Binafsi... ila siku Huu Uchaguzi utapopita ndio mtakumbuka Nilichokuwa napost Hapa... Hebu jiulize kwanini wao wakione Chama Kibovu leo baada ya kukatwa wao????? Mbona siku zote hawakuliona hili??? Kwakuwa Wamekosa ndio Ghafla Chama kibaya..???? Si juzi tu walikuwa wanakisifia???? Tena Masifa kedekede, baada wao kukosa ndio kimekuwa kibaya...???

Kama una FACT nijibu hapo ili mimi na wewe Tuijenge nchi yetu Matusi hayatokusaidia wewe, Mimi wala Mtanzania Mwenzetu ataesoma hapa, Tuelekezane kibusara Ukinipa Point basi naja, Kama Hauna Point nakukaribisha.... Ccm Chama la Wana!!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hapo umeteleza,wewe ni star wa watanzania wote jiepushe na kauli zako tatanishi uchanguzi unaisha 25/oct kumbuka hilo

    ReplyDelete
  2. Wewe endelea kukata viuno siasa waachie wenyewe,wewe unafikiri ngololo hiyo?pimbi wa tandale wewe.

    ReplyDelete
  3. kwa kweli nyie wasanii hamna matatizo kwa sababu mnalipwa. Lakini ccm wanatakiwa watuambie wamefanya nini miaka mitano, si kutuletea muziki wa bongo fleva wakati sisi ni malofa na tuna njaa zetu, na wapumbavu! Na pia sisi wananchi tunashirikiana na wapumbavu. Sisi wananchi tulimpa Warioba maoni yetu, na ccm mkayachakachua, mmetuona ni wapumbavu na pia ni malofa. Kwa kweli ccm mna maneno ya kejeli ambayo hata police wenu wameshondwa kuyakemea. Tutaona kama tume ya uchaguzi itaweza kumwambia Mkapa alichofanya ni kuonyesha alivyokuwa MPUMBAVU YEYE MWENYEWE, NA PIA KUONYESHA ULOFA WAKE yeye mwenyewe. Utajivunia vipi mali za wizi kutoka mikononi mwa watu waliokuweka madarakani? Huo si ndio kuonyeha kwamba wewe ni MPUMBAVU na NI LOFA WA CIVIC EDUCATION - kutoidhamini nchi yako kwanza!! Mungu atakuhurumia. Lakini tusiombe tukafika walikofika wenzetu wa Egypt, au Libya au huko kwingine! Eee Mungu tupe neema na amani!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyo rowassa alikuwa waziri alifanya nini! sipendi akisema anachukia umaskin. basi tumsamehe, aoneshe makundi ya watu wasiojiweza aliowasaidia na sacoss.

      Delete
  4. Una haki na uhuru wa kuelezea maoni yako binafsi lakini mara nyingi kabla mtu hajasema aliyokusudia kuyasema ni vizuri kujiridhisha kwa tamthimini ya kina hasa katika masuala yenye maslahi kwa taifa. sina maana wala lengo la kutetea upande wowote ila kwa akili ya kawaida kabisa isiyohitaji shule ya aina yoyote ccm toka waanze kutawala nchi hi sera zao zote nyakati za uchaguzi ni mkituchagua tuta tuta tuta ndo nyingi wala si tume tume. Hi inamaana gani yani hawa jamaa hata kwa yale walioahidi kipindi kilichopita wanaendelea kuahidi yaleyale ahadi ju ya ahadi. Zaidi ya miaka 50 ya uhuru kasi ya maendeleo tuliyopiga hailingani na muda tangu tuanze kujitawala wenyewe wala rasilimali tulizonazo. kwa kifupi sera zenye ahadi zisizotekelezeka hali ya wananchi inazidi kukwa mbaya kupita maelezo madhali wao maisha bora kwao si tatizo kwa kuendelea kutumia vibaya rasilimali za watanzania. Naimani ukweli wa mambo unaujua sema basi tu ni uzembe wa kufikiri ndo unaoweza kusababisha mtu kutoa kauli kama hizo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. cdm wao wananeno gani mbadala zaid ya tuta

      Delete
  5. Ndorobo ww unayetaka kuipeleka nchi uamishoni hatotoweza kuiacha ccm yenye sera zinazotekelezeka,ccm daima.

    ReplyDelete
  6. Ccm hamna lolote mmeishatuchosha, ila mtu km ww huna jinsi inabidi tu uitetee mana utakula wapi sasa...

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe utakula kwa lowasa nyoooo domo bana ndo hivyo ccm itashida tuuuuuuu lia basi

      Delete
    2. Wewe jinamizi unataka mabaliko yamekushosha kama ni chama Lowassa ni CCM makapi sijui utakubadilishia nini

      Delete
  7. msenge wewe huna jipyaaa

    ReplyDelete
  8. Diamond sehem nchi ilipofikia, atuchagui mtu tunachagua chama. in short atuitaki CCM tunataka mabadiliko chama kingine kiongoze tuone itakuwaje. wakishindwa tutarudi CCM coz Akuna mtu wakuzuia mwingine asiende chama akipendacho. Bro nakushauri uji promote achana na siasa kwa mda. baada ya 25 October ndio uanze kuropoka.

    ReplyDelete
    Replies
    1. WACHA AJIMWAGEMWAGE,ANA UHAKIKA WA 100% CCM INAPITA,SHAKA YA NINI.HAPO KAZI TUUUUUUUUUUUUU

      Delete
  9. Siasa na muziki wapi na wapi?

    ReplyDelete
  10. Akili ndogo kutawala akili kubwa. Wee Diamond kata viuno tu mambo ya siasa, uchambuzi wa uchumi, uongozi na maendeleo ya wananchi waachie wengine. Ungeniuliza ushauri ningekuomba utunge wimbo wa kuhamasisha Watanzania wachague kiongozi bora. Wimbo huo ungeimba ktk campaign zote ungechukua mkwanja kwa wote. Wee kazi yako ni kuburudisha watanzania sio wana chama wa chama fulani. Hiyo akili mnatumia wasanii ni ndogo na umaarufu kwa JK na wapambe wake usiodumu. Msimuige marehemu Komba yeye aliajiriwa na CCM. Wee Je?

    ReplyDelete
  11. all in all we real need changes
    ila Mungu ndo mpangaji wa yote
    any one who God choose

    ReplyDelete
  12. ooh God serve us a good presdent

    ReplyDelete
  13. Magufuli anakuja maneno ya ukawa: asalaam aleikum; bwana asifiwe, tums if u Yesu kristo. Na mabadiliko. Wewe umekaa ccm miaka ngapi vile? No changes CNN you make these changes within a beaurcratic party like ccm; a party characterized by nepotism? A party full of corrupt people? If you are on the pary, and you citize the party ands it's government of corruption - then you need to see your physician or better still you need to visit a nearby psychiatric clinic. If there is one! Cheers people's power!!!

    ReplyDelete
  14. MIMI NI MWANA MAONI NINAETOKEA INCHI JIRANI KENYA NA TANZANIA NA WATANZANIA NAWAPENDA NINACHO WAOMBA NDUGU ZANGU NI KUCHUNGA KAULI ZINAZOTOKA PINDI MUNAPOPEANA MAONI TANZANIA NDIO ILIOBAKIA INCHI TUNAYOWEZA KUJISIFU NAYO KATIKA AFRICA MASHARIKI KWA AMANI NDUGU ZANGU WATANZANIA NAWAOMBA MUTUPIA SANA MACHO HUU UCHAGUZI UNAOKUJA NA MUOMBE AMANI KWA WINGI NA SS WENZENU WA KENYA TUNAWAOMBEA BAADA YA MAMBO YA KURA NA KUCHAGUANA KWISHA MUTABAKI KUWA NDUGU WATANZANIA KAMA ZAMANI NAOMBA MUSIYUMBISHWE NA SIASA AMANI TANZANIA.

    ReplyDelete
  15. tunaitaji mabadiliko sio kila siku ccm ccm

    ReplyDelete

Top Post Ad