AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Akizungumza Jumatano hii katika kipindi cha Take One Cha Clouds TV, Wolper amesema alitokewa na Harmonize wakati sahihi ambapo ameshaachana na mkongo wake ambaye alivyalisha pete.
“Rajabu (Harmonize) sijamjua hivi karibuni, nimemjua siku nyingi sana na nilikuwa namchukulia kama wasanii wengine wa muziki,” alisema Wopler.
“Lakini kwa mimi nilikuja kugundua Rajabu alikuwa ananikubali siku nyingi, tukawa marafiki. Lakini katika kumbukumbu zangu na vitu ambavyo nimevipitia, naamini kwamba Rajabu alikuwa anashindwa kuniambia. Lakini alikuja kunitamkia mimi wakati nipo kwenye wakati mgumu sana, kwa hiyo tukajikuta kunakuwa marafiki na baadae wapenzi,” aliongeza.
Wopler amesema ana mwezi mmoja na wiki mbili toka aingie rasmi kwenye mahusiano ya mapenzi na Harmonize.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hili lijizeee limama lizima hata haya halina na Harmonize wake tumewachoka.Kha!!! Waende wakakojoe wakalale huko.
ReplyDeleteHawa takataka watoke hapa
ReplyDeleteHuoni hata aibu bibi mzima kutembea na kitoto kidogo Acha kwanza bangi utolewe hilo pepo la ngono hapo umaweza barikiwa mme mwema
ReplyDelete