Video : Lulu Michael Afunguka Kuhusu Mimba yake, Kuolewa na Kutengana kwa Wazazi wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Miezi michache iliyopita mwanaBongomovie Lulu aliamua kumtangaza mpenzi wake hadharani kua ni Majay, mkurugenzi wa Efm. Na maswali ya mashabiki wengi yakawa ni kweli watadumu au ndo atakua kafika na kuamua kuolewa????

Lulu aliamua kujibu maswali hayo pale alipoamua kujibu maswali aliyokua akiulizwa na mashabiki wake kwa njia ya video. Katika video hiyo Lulu aliamua kufunguka mambo mengi sana ikiwemo ufafanuzi wa picha aliyopost ikionyesha kua ana mimba, kama ataolewa au la, na mengine mengi. Unaweza mskiza katika video hii hapa chini ....

 TAZAMA VIDEO HAPA:
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mimi huwa nachukia watu wanavyosema thank you kila mara inaniuzi vibaya mno Lulu sema thank you kimya kimya inaboa vibaya sana eti thank you,thank you, thank you, thank you, thank you, thank you, thank you, thank you, thank you yaani video imeniboa vibaya mno nikaamua nikatishe kuona

    ReplyDelete
  2. Halafu alivyokuwa na domo baya duh.

    ReplyDelete

Top Post Ad