AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Rapper huyo kwa sasa anakiki na wimbo wake mpya ‘Kazi Kazi’ aliomshirikisha msanii wa nyimbo za visingeli, Sholo Mwamba. Akiongea na kipindi cha Hatua Tatu cha Times FM, Professor Jay alisema, “Hii sijui kiingereza, Kiingereza ni Kushoboka tu. Viongozi wengi mbona tunaona wanakuja hapa Tanzania hawajui Kiingereza.”
Aidha kiongozi huyo ameongeza kuwa kwa wasanii mameneja ndio wanapaswa wajue lugha hiyo ili wawe kama wakalimani kwa wasanii wao.
Bongo5
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Imekuwa hivyo tena?
ReplyDeletePengine sio wewe,lakini ndani ya kundi lako mlikuwa mnamcheka muheshimiwa rais kupenda kuongea kiswahili na kwamba pengine kingereza kinampiga chenga?Haki siasa ni maji taka kweli.
Na wewe hujui kingereza?
ReplyDelete