AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Akiteta na Amani hivi karibuni, Wema alisema atajisikia fahari sana endapo mtoto wake wa kwanza angezaa na Idris kwa kuwa amemuonesha dhahiri kuwa ni baba bora.
“Kiukweli namuomba sana Mungu kila kukicha, baba wa mtoto wangu awe ni Idris kwa kuwa ni mwanaume pekee ambaye naona ni mwenye mapenzi ya dhati kwangu,” alisema Wema.
Chanzo: Amani
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
It's too late. Move on. Utataka uwe na baby dad drama tu.
ReplyDeleteKUWA MSIRI BASI HATA KIDOGO KWA MAMBO YAKO WEMA JAMANI!!!MIMBA HUWA INAKUWA KWA KWENDA MBELE ITAKUWA TUTAIONA TU HUNA HAJA YA KUINADI JAMANI.
ReplyDeletedu hiyo picha hapo juu Wema katokea vibaya sana ebu angalia hiyo pua yake du
ReplyDeleteWewe mzuriiiii????? Hata kama mbaya hujamuumba wewe,nyoko wewe
ReplyDeletehiyo picha hapo juu pua yake ni mbaya sana yaani inaonekana kama myama flani ebu angelieni vizuri hiyo pua
ReplyDeleteda hiyo picha ya wema hapo juu ni mbaya sana angalia pua yake ingekuwa marekani akina kim kardashian wangemcheka sana eti anataka kufanana na Kim na pua kama hiyo ya Wema hawezi kufanana na Kim Kardashian hata siku moja kwanza Kim Kardashian hamjui Wema ni nani
ReplyDeleteKim Kardashian alipiga self na watu kwa muda wa lisaa limoja akapata dola 700, 000 yaani bilioni moja na nusu ya kibongo, lakini nani atamlipa wema kufanya selfie nae kwa kumlipa? jibu hakuna watu watafanya selfie na wema kwa kulala nae bure bila kulipa chochote sababu yeye ni mama huruma
ReplyDeletemmhh ww anon wa 12;21 umeshakula lakini maana si kwa mapovu hayo.=p~
ReplyDeleteMIMI NASEMA WEMA UKIPATA MTU WAKUKUOA DUNIA ITANDAMANA KWASABABU KWANZA WEWE NI MALAYA WA KUPINDUKIA ALAFU WANAUME WAMESHAKUSITUKIA WOTE HAWO WANAKUONGOPEA SIKU UTAPOJITAMBUWA KUWA WANAUME WANANIDANGANYA NDIO UTAPATA MWANAUME WAKUKUOA KWANZA JITAMBUWE
ReplyDelete