AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
"This Kiss Goes To My Unborn SON..."
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
this time no kiki, wazae mpaka utumbo.
ReplyDeleteD! huyu bibi atafia Leba. yoote awaonyeshe watz kamzalia mtu anaetia onyo. na watoto wengine anawaficha kwa aibu.
ReplyDeletehata paka anazaa.atutokee na ujinga wake
ReplyDeleteDuuh!! Mapacha ya nje.......hata mwaka bado!! Hongera zako "bibibomba"
ReplyDeleteHahaaa hongeren
ReplyDeletehaweza kumla Domo mpaka amzalie hata kama umri umekwenda. duka lishataifishwa afanye nini zaidi ya kuongeza watoto ili aishi vizuri.
ReplyDeletesafari hii kitatoka kinyago kingine kitapigwa editing mpaka kione dobledoble
ReplyDeleteatazaa mpaka shahawa ila Dai ana dogodogo bongo.
ReplyDeletehapo Wema sepetu anamwaga machozi halafu mimi nilifikiri zari ni mtu mwenye akili kumbe hamna kitu yaani anazaa na vitoto kama Diamond? najua Diamond anataka kuzaa tu lakini hataki kuoa Zari anadanganywa kuzaa na yeye anakubari hapo ndoa hakuna, mimi mwenyewe sikubali kumzalia mtu bila ndoa
ReplyDelete:d :d :d
DeleteHe! bossLeba yuko chumba kimoja na mke mwenzie Hamisa.
ReplyDeleteHONGERA SANA ZARI NA DIAMOND. ZAENI MKAIJAZE NCHI
ReplyDeletebig upo diamond. zaeni kwa nafasi wenye wivu wasema mchana usiku watalala.Zari usiwajali wee jizalie mwaya ili mradi hali inaruhusu!!!!
ReplyDeleteJAMANI MUACHENI ZARI KAMA ALIVYO, MAPENZI HAYACHAGUI UMRI WIVU UMEWAJAA TU, HALAFU ANAEPOST MANENO YA KUMKASHIFU ZARI NI MMOJA TU SIKU ZOTE NA ANAFAHAMIKA. EMBU ACHENI MTAKUFA SIKU SI ZENU.
ReplyDeleteAGNESS UMESEMA. WIVU UMEMZIDI HUYO MTU . POLE YAKE!! ZARI NZA DIAMOND ZAENI HATA WATOTO MIA WENYE WIVY WA
DeleteWENYE WIVU WAJINYONGE
DeleteZARI ANAJUWA ANACHOKIFANYA MWACHENI MTOTO WA WATU.
ReplyDelete