Shamsa Ford kufunga ndoa Ijumaa hii

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa filamu Shamsa Ford anatarajia kufunga ndoa Ijumaa hii na mfanyabiashara wa nguo aitwae ‘Chidi Mapenzi’.
Shamsa na Chidi Mapenzi

Muigizaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa ndoa hiyo itafanyika nyumbani kwa wazazi wake Sinza Africana jijini Dar es Salaam.

“Kweli bhana Ijumaa hii Mungu akipenda nafunga ndoa,” alisema Shamsa Ford.

Miezi mitatu iliyopita mfanyabiashara huyo alikiri kuwa kwenye mahusiano na malkia huyo wa filamu na kuweka wazi mpango ya ndoa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sio wivu lakini Shamsha kuwa makini huyo jamaa anaonekana kama ana ngoma kwa jinsi anavyoonekana amechoka usoni si ajabu anataka kukuambukiza ngoma tu, wasanii wa bongo Movie kuweni makini msijali sana pesa kuliko uhai wenu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Msenge wewe
      Kama ana ngoma ina kuhusu nini wewe?
      Pumbavu
      Mpaka wamefikia hatua ya kuona si wanajuana

      Delete
  2. DON'T YOU JUDGE A BOOK BY LOOKING AT THE COVER YOU HAVE TO TAKE A BOOK AND HAVE A LOOK THEN YOU CAN JUDGE IT

    ReplyDelete
  3. watajuana vipi kwa muda tu wa miezi mitatu? hivi miezi mitatu ni muda mrefu sana bongo basi huko kwenu bongo siku zinaenda taratibu sana na wala si mwendo kasi

    ReplyDelete

Top Post Ad