Picha za JUMA Jux Zamtoa Mate Jack Wolper...

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Muigiza wa Filamu Bongo, Jackline Wolper amedai anataka kurudi shule mara baada ya kuona picha za Jux alizopiga katika mahafali yake ya kumaliza elimu ya juu nchini China.


Wolper kupitia instagram ameandika, “nimekumbuka mbali kweli nilivyoiona hii picha, nakumbuka siku hizo mwenyewe ndo nakupeleka airport unaenda kuanza kusoma mpaka na mimi nilitamani kuwa mwanafunzi ili twende wote yaani naandika hii caption huku nasmile nikikumbuka hiyo siku ndo unaenda kusoma mwenyewe…am very happy for you mwanafunzi wangu! yani verrrrry happy…!

Ameongeza, “hongera sana siku hizi vijana wanafanya yote na shule ipooo ndo unazidi kuwa mnyamweezi, mimi mwenyewe hapa nataka nirudi shule ya kutafuta hela manake maisha magumu sana… Hongera sana kwa kuhitimu..!!nisaidieni kumtag mwanafunzi wangu,” amemaliza kwa kuandika.
_________

LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Binti unakumbuka kujifunika shuka asubuhi wakati kumeisha pambazuka?Bongo movie wewe biashara ya maduka wewe halafu starehe za kujirusha na ulevi wewe na shule/masomo wewe ah binti kuwa mkweli bana japo wanasema elimu haina mwisho lakini kwa nipigo yako hiyo naona shule kwako haina nafasi kabisa yaani shule imechelewa kwako kubali matokeo

    ReplyDelete

Top Post Ad