Mahakama ya ICC Imemuachia Huru Aliyekuwa Makamu wa Rais wa DRC

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mahakama ya ICC imemuachia huru aliyekuwa Makamu wa Rais wa DRC
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) nchini Uholanzi imemuondolea makosa ya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu yaliyokuwa yanamkabili aliyekuwa Makamu wa Rais wa zamani wa DRC Jean Pierre Bemba.

Bemba alipatikana na hatia March, 2016 kwa makosa ya uhalifu uliotokea  Jamhuri ya Afrika ya Kati, kati ya mwaka 2002 na 2003 na kuhukumiwa June 21.

Bemba aliyekuwa anatumikia kifungo cha miaka 18 jela kutokana na makosa hayo ameachiliwa kufuatia rufaa iliyowasilishwa kupinga hukumu hiyo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad