Joh Makini Afunguka Sababu ya Kuimba Gospel

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Joh Makini Afunguka Sababu ya Kuimba Gospel
MWANAMUZIKI mwenye jina kubwa kwenye gemu la Hip Hop Bongo, John Simon ‘Joh Makini’ amesema kwamba kilichomfanya kuimba Gospo ni kufikisha ujumbe kwa mashabiki zake kwa namna Mungu anavyomaanisha kwenye maisha yake.

Akichonga na Risasi Vibes, Joh Makini alisema kwamba wimbo huo kwake ni ‘Hip Hop Gospo’ wenye ujumbe ‘strong’ na si mwisho wa kuimba nyimbo za namna hiyo, ataendelea kila anapopata idea kwa sababu Mungu ni kila kitu kwake.

“Hakuna ambaye hafahamu kwamba Mungu ni kila kitu kwenye maisha ya binadamu, nimeimba wimbo huu ili kufikisha ujumbe kwa mashabiki zangu kufahamu kwamba suala la Mungu kutufanikisha kwenye maisha yetu si la kumwachia yeye tu. “Sisi pia tunatakiwa kupambana kwa namna zetu nay eye anabariki nia zetu na kufanya tupate kila tunachotamani,” alimaliza Joh Makini.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad