Cardi B atoa misaada nyumbani kwao Brooklyn

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Female rapper kutoka nchini Marekani, Cardi B ameamuoa kutoa misaada eneo ambalo alizaliwa Brooklyn.

Hapo jana ndipo Cardi B alitoa misaada hiyo ambapo aliwapatia baadhi ya wakazi wa eneo hilo majaketi pamoja na viatu kwa ajili ya msimu wa baridi.

Wakati akikabidhi misaada hiyo Cardi alisema kuna muda watu wanafikiri kwamba wanafanya tu mambo ya starehe, kumbe kuna muda inatakiwa kuwasaidia watoto, jamii na kila mmoja

Tukio hilo linakuja ikiwa ni simu mbili zimepita tangu ameshinda tuzo  nne kati ya 10 alizokuwa akiwania kupitia   BET Hip Hop Awards kwa mwaka 2018.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad