Shindano la Sura Mbaya Tanzania

 

Kipindi hiki acha niwape stori.  Hapo kwenye picha ni Remmy Ongala(katikati)  Masudy sura mbaya(kushoto)  na Mzee Jangala(kulia). Kulikuwa na shindano la mtu mwenye sura mbaya kuliko wengine Tanzania na hawa ndio vinara watatu bora ambapo: - 

1. Alichukua Masudy Sura Mbaya

2. Akachukua Remmy Ongala

3. Ikakamatwa na Mzee Jangala


Kilichostaajabisha watu zaidi ni pale Remmy Ongala alipolalamika saaaana kuwa ameonewa kwamba alikuwa anastahiri kuibuka mshindi wa kwanza yeye na sio Masudy 😂😂😂. Akasema "jamani Masudy hanishindi kwa ubaya majaji mmembeba 😂😂😂" Anayekumbuka mwaka wa tukio atukumbushe jamani!   


HABARI HIZI ZINAPATIKANA APP YA UDAKU SPECIAL BONYEZA HAPA  

Loading...

Shindano la Sura Mbaya Tanzania Shindano la Sura Mbaya Tanzania Reviewed by Udaku Special on August 22, 2019 Rating: 5

1 comment:

  1. Ni kweli; Hayati Remmy alilalamika kuwa majaji walifanya upendeleo tu kwa vile Masudi alikuwa ni "mrembo kabisa"

    ReplyDelete

Powered by Blogger.