5/27/2020

Maskini Mchekeshaji IDRIS Sultan Afikishwa Mahakamani Baada ya Kusota Rumande


Maskini Mchekeshaji IDRIS Sultan Afikishwa Mahakamani Baada ya Kusota Rumande
Idris Sultan amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu baada ya kushikiliwa na Polisi kwa takriban siku 8.

Taarifa za awali zilisema anatuhumiwa kwa makosa ya kimtandao na kujaribu kuharibu ushahidi, taarifa kamili kukujia hivi punde.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger