5/25/2020

Viwanja Vikubwa Vinauzwa: Mapinga na BunjuMapinga, mpani na Bunju, vipo viwanja vya bei zifuatazo:

Mita 20/20 ni tsh 5 mil,
Mita 20/30 ni tsh 7 mil,
Mita 20/40 ni tsh 10 mil,
Robo eka ni tsh 12 mil,
Nusu eka ni tsh 22 mil,
Eka moja ni tsh 42 mil

Kwa Bunju, viwanja vipo mtaa wa Fanaka (Bunju A) na bei ni milion 30 kwa kiwanja cha sqm 1000.

Viwanja hivi vipo umbali wa km 2 kutoka main road (Dar to Bagamoyo Road) Na huduma zote za umeme na maji zipo.

Ukipata ujumbe huu mjulishe ndugu/jamaa/rafiki.

Hakuna dalali/udalali
Mpigie mhusika: 0758603077
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger