Heche "Kumbe Unaweza Kupata Zari la Kazi Ofisi za Umma Bila Kuchunguzwa"


Aliyekuwa Mbunge wa Tarime Vijijini (Chadema) amehoji uwezekano wa kupata nafasi katika ofisi za umma bila kufanyiwa uchunguzi wa ndani ili kubaini kama anafaa kwenye nafasi.

“Hivi kumbe knawezekana ukapata zari kuingia kwenye ofisi ya umma kirahisi tu bila kufanyiwa ” vetting”?,” alihoji Heche katika ukurasa wake wa twitter.

“Kuna watu huko nyuma nilikua nikiangalia mienendo yao, kauli na vitendo vyao najiuliza hivi huyu alifikajr hapa au alipataje  hii kazi,” aliandika Heche.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

2 Comments

 1. Ndugu Heche mbunge wa Zamani Tanzania.

  Pumzika kwa Amani nchini Twita. Jamuhuri ya sinapu chati na fezibuku

  Una kihere here cha nini?

  Habari sasa hivi Kibeko (Mzigwa Mzandili kama alivyo jifafanua) Na mama Mahii Dkt MayRose.

  Wewe njoo na vyeti vyako tuihakiki Sengerema Boys. Ajira Zipo.

  Kumbuka Vigezo na Masharti kuzingatiwa

  Iwe Maasika iwe Kiangazi TUKO NJIANI.

  ReplyDelete
 2. Habari Za maisha nchini twita.
  Poleni na Mafuriko toka Snap up nasikia pia kulikuwa na kimbunga toka jirani zenu WA fezibuku.

  Pole I SANA tunajipanga kuwaleteeni PPE na vifaa TIBA.
  Sijui sukari na nafaka zitawatosha ajili hatuna Data Za idadi yenu.? Mtujuze ili tujue tunawasaidiaje on Humanitarian Grounds. Twita Oyeee.. Smartchapu

  ReplyDelete