7/16/2020

Dar inaongoza waliotia nia CCM wapo 829- Rais Magufuli“Mpaka sasa waliotia nia CCM ni 8205 na DSM ndio inaongoza, DSM mpaka leo Alfajiri wapo 829, Arusha 320, Kusini Unguja 53, Kilimanjaro 82, Kagera 328 na kufanya watia nia kwenye Majimbo kuwa 6533, viti maalum 1539 na wawakilishi 133, hii inadhihirisha Watu wanaipenda CCM” -JPM 
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger