Miili ya watu 7 wagunduliwa katika kaburi la pamoja Libya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Miili ya watu  7 imegunduliwa katika kaburi moja katika mji uliokuwa  umetekwa na waasi Libya. 

Miili ya watu 7 ambao wanakisiwa kuwa raia imegunduliwa katika mji wa Terhune , mji ambao ulikuwa imetekwa na waasi nchini Libya. 

Mji huo ulikombolewa mnao Juni 5 baada ya makabiliano makali kati ya jeshi  la serikali inayotambulika na jumuiya ya kimataifa na wapiganaji wa jenerali Khalifa Haftar. 

Kiongozi wa jopo lililoandaliwa kwa ajili ya kufanya uchunguzi  kuhusu mauaji katika maeneo yaliokuwa yametekwa na waasi lÄ°BYA Kemal es Seyewi amefahamisha kuwa katika  hatua iliopigwa hadi kufikia sasa ni  miili ya watu  7 ndio iliogunduliwa katika kaburi la pamoja. 

Miili hiyo  imepelekwa katika hospitali moja ili ihifadhiwe na kuzikwa kwa heshima. 

Kulingana na taarifa zilizotolewa na serikali  hiyo inayotambulika na jumuiya ya kimataifa, Terhune kuna zaidi  ya makuburi  11 ya pamoja. 

Wapiganaji wa Haftar waliondoka katika eneo hilo baada  ya kuzidiwa na mashambulizii yalioendeshwa kwa ushirikiano na jeshi la Uturuki.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad