Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Tessy "Jimbo Langu Lipo WAZI Wajumbe Mnakaribishwa"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

AONGEZE sauti? Sosholaiti matata Bongo ambaye ni baby mama wa staa wa Bongo Fleva, Aslay Isihaka, Katyesia Abdul ‘Tessy Chcolate’ amesema jimbo lipo wazi kwa sasa, lakini shobo.

Akistorisha na OVER ZE WEEKEND, Tessy amesema ameamua kuwa hivyo kutokana na sababu zake maalum na mtu ambaye kwa sasa amempa nafasi ya kuwa naye kwa karibu zaidi ni mtoto wake Moza aliyezaa na Aslay.

“Ni kweli nipo singo, lakini sina mpango wa kuwa na mtu kwa sasa. Nina vitu vingi vya kufanya. Mtu wangu wa karibu kwa sasa ni mwanangu na familia yangu,” amesema Tessy ambaye juzikati alidaiwa kuminya kimalovee na Simba wa Tandale, Diamond Platnumz. Tessy alitengana na Aslay yapata miaka minne iliyopita

Post a Comment

0 Comments