8/19/2020

RC Mghwira: Hakuna Uhalali Misafara ya Wagombea Kupigwa Mawe


Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, amesema tukio la kupigwa mawe msafara wa wagombea wanaotafuta udhamini halina uhalali, atalifanyia kazi na kulitolea ufafanuzi hivi karibuni

Mghwira alitoa kauli hiyo alipojibu hoja ya Askofu wa KKKT, Dkt. Frederick Shoo aliyeitaka Serikali kukomesha vitendo vya vijana aliyowaita wahuni kupiga mawe misafara ya wagombea

Agosti 14, Msafara wa Tundu Lissu, mgombea urais kupitia CHADEMA ulipigwa mawe Wilaya ya Hai walipokuwa wakielekea Arusha kutafuta wadhamini

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger