8/20/2020

Wajumbe hamkuniangusha, Watu wamenidhamini Mil 1.1 ni matunda ya kazi zenu- JPM


 "Nawapongeza Wagombea waliojitokeza, walikuwa wengi  kwakuwa CCM wanaipenda, Wana-CCM 10,367 walichukua fomu katika nafasi za Ubunge wa Jimbo na Viti Maalum, waliowania nafasi za Ubunge kwenye Baraza la Uwakilishi ni 786, waliowania Udiwani wa Kata na Viti  Maalum ni 33,094” -JPM
“Nawashukuru Wajumbe wa NEC kwa jinsi mlivyonipigia kura nyingi,mlikuwa Wajumbe hamkuniangusha Wajumbe,mlipoenda kwenye maeneo yenu mlishikiri kunitafutia Wadhamini na wakanidhamini zaidi ya Watu Mil 1.1 ni matunda ya kazi zenu Wajumbe”-JPM akifungua kikao NEC
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger