8/17/2020

Waziri Avionya Vyama vya Siasa, Atoa MaagizoWaziri wa Mambo ya Ndani George Simbachawene, amevionya vyama vinavyofanya siasa zenye viashiria vya kuvuruga amani na kuvitaka vyombo vya ulinzi na usalama kudhibiti jambo hilo bila kujali ni chama kipi kimefanya ili harakati za uchaguzi zisisababishe baadhi ya Watanzania kupoteza maisha.


Simbachawene ameyabainisha hayo akiwa mkoani Kigoma katika ziara yake ya kikazi, na kusema wanasiasa wasitumie wananchi kujitafutia umaarufu wa kisiasa na kuwa wana jukumu la kuhakikisha kila hatua wanayoifanya haileti madhara kwa wananchi.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger