Uongozi wa Yanga walaani tukio la mashabiki wake kumshambulia shabiki wa Simba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Kufuatia kuenea kwa video inayoonesha washabiki wa klabu ya Yanga wakimpiga Mshabiki wa klabu ya Simba katika moja ya mechi zilizofanyika kwenye uwanja wa Mkapa , Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia Kaimu katibu Mkuu wake Wakili Saimon Ptrick imelaani vikali kitendo hicho kilichofanywa na washabiki wa klabu hiyo.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad