11/02/2020

Mbowe na Wenzake Kushtakiwa Kwa Makosa ya UgaidiKamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, ACP Lazaro Mambosasa amesema wanawashikilia watu kadhaa wakiwemo viongozi 3 wa CHADEMA akiwemo Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Godbless Lema na Boniface Jacob


Viongozi hao wamekamatwa kwa madai ya kuhatarisha usalama wa Raia na mali zao kutokana na kupanga kuwatumia vijana kuchoma moto Miundombinu na Vituo vya Mafuta


Aidha, Mambosasa amewataka Wagombea Ubunge kutoka Mikoani walioshindwa katika Uchaguzi kurudi Majimboni mwao kwa sababu kitendo cha kukusanyika jijini humo ni uchokozi wa dhahiri kwa wakazi wa Dar

Jamii Forums

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

1 comment:

 1. Hawa Vibaraka Magaidi waliodiriki
  kujitoa katika runinga hadharani kuhamasisha Vurugu na mwishowe kupoteza maisha na kuiingiza nchi katika machafuko na Umwagaji Damu kwa
  wasio na hatia ni bora Washughulikiwe
  bila Huruma kama nia zao na mbinu zao
  zilivyo.

  Tanzania yetu ni Salama.

  ReplyDelete

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger