11/13/2020

Mo Salah Akutwa na CoronaShirikisho la soka la Misri (EFA) limetangaza kuwa mshambuliaji wao Mo Salah amekutwa na maambukizi ya virusi vya Corona.


Hii habari mbaya kwa timu ya Liverpool ambayo wachazeji wake muhimu ni majeruhi Joe Gomez, Fabinho, Virgil van Dijk, Thiago Alcantara na beki Trent Alexander-Arnold .


 


kwa wa mwendo huu Kocha Jürgen Klopp anakuwa kwenye wakati mgumu kuutetea ubingwa wa ligi kuu Uingereza kwa sababu ya majeruhi ya muda mrefu ya wachazajiwake ambayo wameyapata msimu huu.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger