Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Bado Namuheshimu Mzee Abdul Kama Baba Yangu na Nimekuwa Namsaidia Sana


"Hata baada ya Kujua Ukweli bado Mapenzi yangu makubwa yalibaki kwa Mzee Abdul kama baba yangu ..

Kwa bahati mbaya yeye aliniweka mbali sana, na nadhani kuna Kipindi mama yangu alichukia kitendo cha yeye kusema kwenye vyombo vya Habari kuwa simsaidii Lakini Kiukweli nimekua namsaidia " - @diamondplatnumz

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

1 Comments

 1. Na Baba yako wa bayoloji Mzee Makame Mrisho Kisimba unamuhudumiaje.?

  Baba wa Kwini Dar Lini.? Sanula ameesha Sanua.

  Baba wa Likado, Salum Bubu anaingiaje hapa au tunamtoaje kule.?
  Hauzi geli na Ezma Muhindi kani , kweli inaigia kichwani Baunsa wa bilikana achukue mdondo na kibendi miezi tisa , si ndio kutolea pistoni ubavuni.

  Kumbuka Wajibu Sio Msaada wa hiari.

  ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)