Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Lockdown siku 30 Kenya kisa Corona, Rais Kenyatta atangaza

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURERais Uhuru Kenyatta amezifunga kaunti tano nchini Kenya kutokana na ongezeko la wagonjwa wa corona.Kaunti hizo ni Nairobi, Kajiado, Machakos, Kiambu na Nakuru.

Marufuku hiyo inaanza leo ifikapo saa sita usiku.

Hakuna usafiri wa barabarani,angani na reli utakaoruhusiwa kuingia na kuondoka katika sehemu hizo zilizotajwa kama zenye janga ‘kubwa la corona’.

Maeneo hayo yatakuwa chini ya masharti hayo ya zuio kwa siku 30 zijazo . ” Ukiwapima Corona Wakenya 100 ,20 watapatikana na virusi hivyo.Kiwango cha maambukizi kimezidi mara kumi zaidi’ rais Kenyatta amesema.


Post a Comment

0 Comments