Ticker

6/recent/ticker-posts

Haji Manara Afunguka Haya Baada ya Mwamnyeto Kuongezewa Mkataba na Yanga " Hawezi Kukubali Kucheza Timu la Kuwanga


Haji Manara ameweka Video Bakari Mwamnyeto Akisign mkataba mpya wa miaka miwili na Yanga na Kuandika haya kufuatia tetesi kuwa Simba pia Walikuwa Wanamtaka:

"Kwa hiyo Bakari Super Mwamnyeto hana akili hadi akubali kucheza Team la Kuwanga wanga hovyo?

Haya yale mliyokuwa mkihangaika nayo yamekwisha.

Narudia hayupo mchezaji yoyote wa kisasa anaweza kuigomea Yanga kisha aende Kwa Kolowizard 

Nyie endeleeni kuwanga tu" Manara

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments