Ticker

6/recent/ticker-posts

Kama Una Akili Timamu Huwezi Ukamchukulia poa Diamond Platnumz


Kama una akili timamu Huwezi ukamchukulia poa Diamond Platnumz. Huyu jamaa ni Level nyingine kabisa, jamaa ana akili kama Ruge, yeye ndio ame-shape muziki wa Bongo Fleva, hivi sasa vijana wote wanafanya kwa kumuiga yeye.

Diamond ana moyo wa kutoa watu kutoka Vijijini kwao kisha kuwafanya kuwa mastar, mfano Harmonize alikuwa Choka mbaya Hohehahe ila leo anavimba eti Yao Yao Yao, Rayvanny alikuwa Hovyo sana lakini Kipitia Diamond amefanikiwa kupita na Paula, Fahyvanny na mastar kibao.

Aisee kama wewe ni mtanzania na hautambui mchango wa Diamond sio siri utakuwa ni mvuta Bange na akili zako hazipo vizuri.


Povu Ruksa

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments