Ticker

6/recent/ticker-posts

Ali Kiba Afunguka "Kilimo cha WHATSAPP ni Shinda Ingine"

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPA

Ali Kiba Afunguka "Kilimo cha WHATSAPP ni Shinda Ingine"


Nyota wa muziki hapa nchini @officialalikiba ameendelea kuonyesha dhamira yake ya kuwaelezea wadau mbalimbali faida na changamoto za kilimo.


Kupitia mtandao wake wa Twitter Alikiba amewataka watu kuachana na kilimo cha mitandao (Whatsapp) na badala yake kuhakikisha wanafika mashambani ili kujionea hali halisi.


“Nilileta staili za ufanyaji wa muziki kwenye kilimo mwanzoni, niliisoma namba.

Kilimo cha ‘Whatsapp’ ni shida”


Hivi karibuni nyota huyo wa muziki aliweka wazi kuwa kwa muda sasa amekuwa akijihusisha na shughuli za kilimo na akaahidi kutoa somo kuhusu vitu alivyojifunza kwenye kilimo.

Post a Comment

0 Comments