Simba Ina Asilimia 10, Yanga Ina Asilimia 20 Kuvuka Hatua ya Robo Fainali

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Simba Ina Asilimia 10, Yanga Ina Asilimia 20 Kuvuka Hatua ya Robo Fainali

Kwa mtazamo wangu, Simba na Yanga zina asilimia chache sana za kuvuka hatua ya Robo Fainali kwenda Nusu Fainali kwa sababu wameshindwa kufanya vizuri nyumbani.

Watu wengi wanasema Yanga wakipata sare ya bila kufungana bado wanakuwa wapo kwenye mchezo au sare ya magoli wanafuzu, lakini naona bado ni mlima mrefu kwao.

Natoa asilimia 10 kwa Simba kuitoa Al Ahly na kufuzu Nusu Fainali lakini Yanga naipa asilimia 20 ya kuitoa Mamelodi Sundowns na kufuzu hatua ya Nusu Fainali.

- Master Tindwa, Mchambuzi Clouds FM.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad