Esha Buheti Apigwa Vijembe kwa Kuwa na Makalio Madogo

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Kitendo cha kutojaaliwa makalio makubwa kwa staa wa filamu za Kibongo, Esha Buheti kimemsababishia anangwe na wasanii wenzake.

Akiongea  na  mwandishi wetu, Esha alisema anafahamu na anawashangaa watu wanaoponda maeneo hayo ya mwili wake kwani kwa upande wake anaamini kuwa mwanamke sura, makalio majaaliwa kwani hata mwanaume aliyemuoa analijua hilo na anampenda jinsi alivyo.

“Kwa kuwa mume wangu ananikubali jinsi nilivyo hainiumizi kichwa kwani mimi naamini sifa ya mwanamke ni tabia na wala siyo shepu kama wengine wanavyofikiria,” alisema Esha.
_________

LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hamna cha kuandika?umbea wa kijinga tu.

    ReplyDelete
  2. ujinga tu admin kwanza kumamamamamamamako post gani iz kuwa na makalio madogo ni maumbile kama wengine kuwa wafupi warefu wanene nk ww hatukujui tu weka picha yako na pozi lako zuri tukudiscuss boya ww

    ReplyDelete
  3. jaman mkiona admin kaandika ujinga haina ulazima kusoma achen wapo watakao soma huo ujinga

    ReplyDelete
  4. matusi sio njia sahihi ya kumrekebisha mtu sijui ni dini gani inaruhusu matusi tukumbukeni kuna kufa je tutajib nini kwa ishu ndogo kama hii matusi makubwa kama hayo….

    ReplyDelete

Top Post Ad