UKAWA Wakishindwa Mwaka Huu, Nani Ataweza?

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Siasa za mwaka huu ni kali, tena sana. Utamu na ukali wake umenogeshwa na mambo matatu hasa moja ni jambo ambalo watanzania walikua wakisema sana kuwa vyama vya upinzani vikiungana ndipo vitaweza kuitoa CCM ikuli, hilo limetokea mwaka huu. Pili ni ile hali ambayo haikuzoeleka ya wana CCM wakubwa kama Lowassa, Sumaye na wengineo kuhama CCM na kuenda upinzani, hilo limetokea na kunogesha siasa za mwaka huu. Tatu ni jinsi wagombea wa urais toka CCM na yule wa ukawa walivyo na nguvu katika Jamii, woote wanakubalika na ni vigumu kusema nani ni zaidi ya mwingine, hapo ndipo utamu unakolea zaidi na zaidi.

Najiuliza tu, je, ukawa wakishindwa kuitoa ccm madarakani mwaka huu,nani au chama gani kitakuja kufanikiwa? Au hilo litamaanisha hakuna upinzani mioyoni mwa watanzania na hivyo upinzani utaparaganyika?
_________

LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndugu usihofu,mwaka huu tayari.kimenuka,watu wamekwishafanya maamuzi tayari,haipo kura inayoelea ! Peopleeeessssss!

    ReplyDelete
  2. MSAFARA WA KUKABIDHIWA IKULU MHESHIMIWA LOWASSA UPO SALENDER BRIDGE UNAONGOZWA NA MAPIKIPIKI VINGORA NA UNALINDWA NA JOPO LA WALE WALE WALIOKUA WAKIMLINDA KIKWETE TAREHE 25 OCTOBA MSAFARA HUO UTAKUA KONA YA OCEAN ROAD NA TAREHE 30 OCTOBA UTAKUA MILANGO YA IKULU SALUTE KIILA KONA KIILA PEMBE NDEREMO KUBWA KALI KAMA SIKU NYERERE ANAKABIDHIWA NCHI TOKA KWA MKOLONI MWINGEREZA

    ReplyDelete

Top Post Ad