AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Magufuli alisema pia kwamba mrema akichaguliwa atamwingiza kwenye baraza lake ya mawaziri.
Wakati hayo yakijiri viwanja vya himo, Mrema alikuwa njia panda na wakati Magufuli amemaliza mkutano wake alipita na 'entourage' yake kuelekea Same.
Mrema alikuwa amesimama anaongea na watu hapo njia panda, msafara wa Magufuli ulimpita Mrema kuelekea Same, lakini baada ya dakika 10 convoy ya Magufuli ilirudi njia panda ili kumsalimia mrema, wakazi wa Vunjo walifurika na Magufuli alimwomba Mrema aongee kidogo. Mrema alimsifia Magufuli kwa barabara alizojenga katika jimbo la Vunjo.
Magufuli nae alirudia akisema mbatia hafai kuwa mbunge ila wamchague Mrema ambaye ni jembe na mchapakazi kama yeye na watu walilipuka kwa shagwe.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Mwehu huyu
ReplyDeleteEEH,HATA KAMA NI MWEHU KASIKILIZWA NA KUELEWEKA NA NDIO MAANA WATU WAKALIPUKA KWA SHANGWE,MWEZI MCHANGA.
Deletetenaa cyo mwehu kiidogo!! mkubwa tu!! sasa yeye mwenyekiti, na chama chake kinamgombea, halafu anawashauri wanachama wake ambao cyo wengi wamuunge mkono mtu mwingine! mzima kweli huyu!!!
ReplyDeleteHUYU NI MTU WA KAZI,ATACHAGUA MTU ASIYEMCHAPA KAZI?KISA NI WA CHAMA CHAKE?KACHUNGUZA KAAMBIWA HAMFAI KWENYE UONGOZI WAKE NA KUMBE MREMA KAFANYA KAZI NZURI,HACHAGUI BINAMU WALA RAFIKI,KAMA WEWE NI MVIVU HUNA MAADLI ATAANZA NA WEWE
DeleteMAGUFULI AWATAKA MWANACHI WA VUNJO KUMPA KURA MREMA WA TLP KWA MAENDELEO YAO NA CIO MGOMBEA WA CHAMA CHAKE CHA CCM,KWELI POLENI CCM HUYU NI MGOMBEA BINAFI ALEE VAAA KOTI LA CCM LENYE CHAWA WEEEEEENGI AKIPATA LAZIMA ATALIVUA,SASA TUSIFIKE HUKO NJIA RAHISI TWENDE NA UKAWA.
ReplyDeleteMafisadi,wavivu hawana na nafasi kwa Magufuli,kwa nini kwingine kote awadi wagombea ubunge wa CCM hapo asifanye hivyo?kuna walakini kwa mgombea wa CCM,kama yupo aliyefanya kazi vizuri apite hata kama ni chama pinzani.
DeleteBADO MTAMJUA MAGUFULI VIZURI AKIWA RAIS,chagua Magufuli.Mtu wa kazi.
Toba kachoka mwili hadi akili
ReplyDeleteNashangaa Mtu mzima ovyo hata hajui kampeni ampigie Nani
Makongoro tazama wagonjwa hawa
YAANI MWAKA HUU NI VITUKO BILA KUSAHAU MGUFULI NAE KAACHA CHAMA CHAKE CHA CCM ET AKIMPIGIA DEBE MGOMBEA WA TLP, HUU NI UCHAGUZI WA KIHISTORIA WATU FULL KUCHANGANYIKIWA.
ReplyDeleteNGUVU ya UKAWA hiyo, inawafanya wachanganyikiwe!! peopleezzzzzzzzzzzzzzzz!!! powerrrrrrrrr!!!!!
DeleteLOWASSA NYWELE NYEUPE,MOYO MWEUPE,NJIA YA IKULU NYEUPEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
ReplyDelete