WILLIAM MALECELA "NITAIRUDISHA KADI YANGU YA CCM SIKU WABUNGE WAKIRUDI BUNGENI NA KUBADILI MAAMUZI JUU YA KATIBA"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katika hotuba ya Rais jana amesema Wabunge warudi tena Bungeni kujadili tena Muswaada waliokwisha upitisha tayari kwa mujibu wa sheria ya Jamhuri ya Muungano ya Taifa Tanzania, well sina tatizo na Wabunge kurudi Bungeni kujadili tena lakini iwapo Wabunge wa CCM watabadili msimamo na kukubali ambacho hawakukitaka mwanzoni, NINAKIAHIDI CHAMA CHANGU CCM KWAMBA NITAKUWA WA KWANZA KURUDISHA KADI YANGU, RASMI.

- Kuna wakati siasa zinatakiwa kufika to a dead end, na here we are, nasema tena sina tatizo na Wabunge kuombwa kurudi Bungeni na Rais wa Jamhuri, lakini nitakuwa na tatizo kubwa iwapo Wabunge wangu wa CCM watabadilika na kuweka msimamo mpya badala ya ule walioupitisha tayari kwa mujibu wa sheria, naahidi kwa Miungu yangu yote kuwa NITAIRUDISHA KADI YANGU YA CCM SIKU HIYO HIYO FASTA SANA!!

- CCM NI CHAMA CHA MAPINDUZI I MEAN REVOLUTION SIO ANYTHING ELSE, NAWAKUMBUSHA WABUNGE WETU WA CCM KWAMBA WANACHAMA WAKE TUNATAKIWA WANA MAPINDUZI NA WENYE MSIMAMO SIO WAOGA WAOGA WAKUYUMBISHWA YUMBISHWA NA THIS IS BEST TEST EVER!!!

- KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!! CCM!

Le Mutuz
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Utashangaa na roho yako na urudishe kweli hiyo gamba yako uje uchukue gwanda

    ReplyDelete
    Replies
    1. hatumtaki huku anatetea ufisadi tuu

      Delete
    2. mimi naulizia tu habari za x wife wake

      Delete
  2. Pole sana but jiandae kurudisha kadi

    ReplyDelete
  3. Kwani mpka leo kuna kijana Mwana CCM? Pole sana ndugu njoo huku tujipange kuwa 'dondosha' magamba 2015

    ReplyDelete
  4. Halloo irudishe kadi .utashangaa na roho yako wakati mambo yakieendelea huku wewe huna kadi.

    ReplyDelete
  5. wewe nani kwanza??rudisha tu hiyo kadi wengne waendelee ubaya wa dunia hata mtu akifa tunalia tunanyamaza siku zinaenda tunasahau kabsaa sembuse wewe kujitoa!?just go ahead sir.I really love your wisetalk

    ReplyDelete
  6. Grow up boy,Revolution has come already and there is no way to stop it,cio ccm wala chama chochote bt it has cme.utabaki na hako kajoho kako na hyo unayoita miungu yako haitakusaidia bali itakuwa ikishangaa pamoja na wewe.Bigup Jk,kwa kuleta mabadiliko yanayofaa kwa Tz na cio tu kukitazama chama chake kama wenzangu na yule wanaotukuza chama kuliko kuliko watanzania.

    ReplyDelete
  7. Umezal?wa ccemuni,umkulia ccemuni,umesomeshwa labda mpaka ng,ambo na ccemuni kwa kodi zetu,labda umepata kazi ccemuni,ukaoa ccemuni,na umja ndoto zakupata kanafasi kabwerere ccemuni,nk.to me hujui kingine zaidi ya ccm,pole sana.kalagabaho.wewe badala yakujiunga na vjana wenzio tukatazama mambo ya utaifa,unahubiri habari za ccm.mwenyekiti wako kaliona hilo katumia busara ,wewe unampimjga nakuanza uchochezi eti wakibadili umjarudish kadi,kwa kipi kizuri walichotuamulia pale bungeni ambacho cici na rais wetu hatuoni ila wewe tu,mpaka unataka kututisha.Who ar u,kwanza hata Mungu humwamini,manake umeapa na vimiungu vyako.Hv mmepelekwa shule na pesa zetu ili mtuchezee?tuombe radhi haraka we kijana.kumbe kuvaa joho sio kuelimika.

    ReplyDelete
  8. ur vel sory gud wenzako wacha sepa wat a u waitng 4?

    ReplyDelete
  9. acheni kujishaua hakuna mtu mwenye uchungu na nchi hii zai maslahi binafsi. hakuna cha gamba wala gwanda wala yeyote yule.

    ReplyDelete
  10. WILIAMU HAKIKISHA UNAKISIMAMIA UNACHOKISEMA. IANDAE KABISA ILI UMPE MWIGULU MAANA MSIMAMO UNAKWENDA KUBADILIKA

    ReplyDelete
  11. HILI BILINGANYA NALO,RUDISHA KWANI WHO R U!!!!

    ReplyDelete
  12. Nasikia Huyu le mutuz anatoa tigo?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni kweli, jamaa ni senge lililokubuhu

      Delete
  13. kusoma kitu gani hata chekechea nu kusoma

    ReplyDelete
  14. Jamani tutofautishe kusoma na kuelimika hivi ni vitu viwili tofauti sasa viongozi wengi nchini wamesoma ila hawajaelimika!!!!!!!!!!!!!!kwani mtu akirudisha kadi yake sisi kama wa tz tuna athirika na nini?mi nadhan angeirudisha bila hata ya kutangaza............

    ReplyDelete

Top Post Ad